Futari, Daku zahitajika Magerezani
Nyota ya Faraja, yatembelea Magereza 15
Wafungwa, Mahabusu 5172, kufunga Ramadhan
Matumaini yao ni kwa ndugu zao Waislamu
Na Bakari Mwakangwale
Nyota ya Faraja, yatembelea Magereza 15
Wafungwa, Mahabusu 5172, kufunga Ramadhan
Matumaini yao ni kwa ndugu zao Waislamu
Na Bakari Mwakangwale
Muhimu ni misingi ya usawa na kiutu
Jumanne wiki hii, yaani Machi 8, 2022 dunia imeadhimisha siku ya wanawake.
Na Bint Ally Ahmed
Ikiwa ni wiki moja imepita tangu Taasisi ya Al-Firdaus kuzindua Msikiti wa kisasa Sharif Shamba Wilaya ya Ilala wenye thamani ya milion 220, taasisi hiyo imezindua Msikiti mwingine Kimara Mwisho Wilaya ya Ubungo eneo Michungwani wenye thamani ya shilingi milioni 150.
Wakili ataka iwepo sheria ya kuwabana
Ni katika makosa yasiyo na dhamana
Atuma salamu kwa Wabunge Dodoma
Na Bakari Mwakangwale
Karibuni kidato cha tano Shule ya Kiislamu Kirinjiko.
Na M. S. Maulidi
Kipekee kabisa tunapenda kuwapongeza vijana wote waliofaulu katika mtihani wa kuhitimu kidato cha nne 2020.