Ethiopian Airline kufungua kesi
Shirika la ndege la Ethiopia liko mbioni kufungua kesi dhidi ya magazeti ya Marekani yaliyoandika habari za uongo kuhusiana na ajali ya ndege ya shirika hilo iliyosababisha vifo vya watu 157 hivi karibuni.