Gwiji wa Qur’an kuswalisha
Na Bakari Mwakangwale
SHEIKH Hassan Swaleh, aliye maarufu na bingwa wa kusoma Qur an Duniani, leo anatarajia kuswalisha Swala ya Ijumaa, katika Msikiti wa Kichangani, uliopo Magomeni Jijini Dar es Salaam.

By Zanziba Daima
Kinachoendelea hivi sasa katika siasa za Tanzania, kwa ujumla, hasa kwa upande wa Zanzibar katika Chama Cha Wananchi (CUF), kimenifanya nikumbuke tarekhe za visa vya Mitume. Na kwa muktadha wa makala hii fupi, nitaangalia kazi kubwa ya kiutume iliyofanywa na Nabii Nuh (AS).
Shule ya Waislamu mjini New Castle, Uingereza imehujumiwa na watu wenye chuki dhidi ya Uislamu ambao walivunjia heshima nakala za Qur'ani Tukufu katika shule hiyo.