Mchezo mchafu nchi za Waislamu! Na Omar Msangi Ilikuwa ni John Forbes Kerry, ambaye kwa mara ya kwanza alifichua hadharani kwamba upo mpango wa kuigawa Syria katika vinchi vidogo vidogo vinavyohasimiana (Tazama: Kerry: If Ceasefire Fails, Partition of Syria is ‘Plan B’)