empty Ni walio Magerezani kwa tuhuma za ugaidi Na Bakari Mwakangwale MASHEIKH na Waislamu waliopo Magerezani kwa tuhuma za ugaidi, wameomba kukumbukwa kwa Dua kila mara kwani Dua ndio njia sahihi ya kuwasaidia.