Colors: Orange Color

Na Lawrence Davidson

Wameanza tena. Mungu amerudi tena kufanya kazi ya kuunga mkono sera za nje za Marekani. Kusema kweli, safari hii Mungu anaelekea ameenda mbali kiasi cha kuandaa wizi wa kura katika uchaguzi wa rais wa Marekani mwaka 2016 (na ulidhani ni 'Warusi!) ili kuhakikisha kuchaguliwa kwa Donald Trump.  

Most Read

  • Week

  • Month

  • All