Na Sheikh Abdirahim Swaleh Sayid-

Shukurani zote anastahiki Mwenyezi Mungu mola wa ulimwengu wote rehema na amani zimfikie  Kipenzi chetu Muhammad (s.a.w) na swahaba zake.

Utamaduni wa kiislam umedhihiri kwa tabia zake njema na kutukuka kwa maendeleo yake katika maneno ya bwana wetu Fafari bin Abii Jwalib pale alipoingia kwa wanajashi akasema kumwambia (Ewe mfalme tulikuwa sisi ni watu wakijahili tukiabudia masanamu na tukila mzoga na tukifanya mambo machafu na tukikata udugu na kuwafanyia ubaya majirani.

Tulikuwa hivyo hadi pale alipomtumia mtume miongoni mwetu tunayemjua na sabu yake na ukweli wake na uaminifu wake na uchamungu wake na akatulingania kwa Mwenyezi Mungu mtukufu ili kumpwekeshe yeye tu na tumuabudu na tuachane na baba zetu kinyume cha Mwenyezi mungu miongoni mwa mawe na masanamu.Allah katuamrisha kusema ukweli na kutekeleza amani na kuunga udugu na ujirani mwema na kujizuia na mambo ya haramu na umwagaji wa damu na ametukataza mambo machafu na maneno ya uongo na kula mali ya yatima na kuwasingizia wanawake wanaojihifadhi ametuamrisha kumuabudu Mwenyezi mungu peke yake na wala tusimshirikishe na chochote na kuyaharamisha yale tuliyohalalishia wakatufanyia uadui watu wetu wakatuadhibu na kutufitinisha juu ya dini yetu ili waturudishe katika kuabudia masanamu na kuacha ibada ya Mwenyezi Mungu.

Na kuacha kuhalalisha yale tuliyokuwa tukiyahalalisha miongoni mwa mambo machafu na pale walipotulazimisha kutuzuia kati yetu na dini na kututoa katika mji na tumekuchagua wewe kwa wasio kuwa wewe na tumekuchagua kwa wasio na kukutaraji. Usidhulimiwe kwako ewe yenye kufafanua yale maendeleo makubwa ambayo yameingia moyoni kwa njia ya mahakama ya akili ambayo Ameleeza ameieleza Mwenyezi Mungu mtukufu (hakika Mwenyezi Mungu anaamrisha uadilifu na ihsani na kutoa katika kheri na anakataza uchafu,uovu na dhuluma anawapa mawaidha ilimpate kukumbuka) Surat An-namli  aya ya 90.Hapo ndo ikawa chimbuko la daawa kwa uadilifu timilifu kwa kila mmoja huo uadilifu ambao huatishi mfalme wala kumdharau mtumwa alama yake ni maneno ya mtume.Mafundisho haya yanamlazimisha muislam juu ya ihisani hata kwa wale wasiostahiki ihisani kwani amepokea Imamu Tirmidhi. Amesema Mtume  nilisema ewe mtume wa Mwenyezi Mungu (mtu nilinyepitia kwake na hewala hanikaribishi wala kuni kirim jee yeye akipita kwangu nimlipizie akasema hapana mkaribishe akasema akanionyesha uchakavu wa mavazi akasema je unayo mali ni kasema katika kila mali amenipa Mwenyezi Mungu miongoni mwa ngamia na wanyama akasema basi na hawaoni kwako kisha unakuja usia juu ya kuunga udugu na maana yake katika uislam kwa upana kwa pale unapo fanya udugu wa mwanzo ambao mkusanyiko wa tabia nzuri kwa wote pale aliposema Mwenyezi Mungu mtukufu (Enyi watu mcheni mola wenu ambaye amewaumba kutoka na nafsi moja na akamuumba mkewe katika nafsi hiyo na akaeneza kutoka na hao wanaume wengi na wanawake na mcheni Mwenyezi Mungu ambaye kwaye mnaongana na ndugu wa damu hakika Mwenyezi Mungu anawachunga)  wanawake kama ulivyokuwa uislam juu ya uzuri wa tabia zake unakataza yote yenye kudhuru jamii ya kibinadamu na kufichua tabia zake na kuuacha mtupu hapo ni kila lililochafuliwa nalo nichafu katika Sura Al- Aaraf (Sameheni amrisha mema na wapuuze wajinga. sisi sote tunajua namna alivyokuwa akinyanyua maendeleo na mwenendo wa kibinadamu na tabia nzuri zilizotukuka ambazo alizoamiliana nazo mtume (s.a.w) kwa muislamu na asiye kuwa muislam na kwa binadamu na ndege na wanyama na vitu vingine na sisi pale tunaposema haya kwani sisi tuna nukuu wito wa kibinadamu na maendeleo kwa waislam wote kwamba wamuige mtume wao na kuutoa ulimwengu katika fujo zake ambazo zimeingia katika shimo lake

 Email : This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it._center

 

Latest News

Most Read