Masiku kumi ya Dhul-Hijja
Masiku kumi ya Dhul-Hijja
Na Bakari Mwakangwale
Masiku kumi ya Dhul-Hijja
Na Bakari Mwakangwale
Neema Maumba Islamic Foundation yakaribisha Ramadhani.
Na Bint Ally Ahmed
Walikuwa 61. Soma majina yao, Wapo Maimamu maarufu watatu
Walikamatwa na Polisi toka 2014
Na Bakari Mwakangwale
Na Bint Ally Ahmed
Mufti wa Tanzania Abubakari Zubeir, amezindua jengo la ghorofa sita linalojengwa na taasisi ya Al Firdaus Charitable Foundation, ambapo imeelezwa kuwa mapato yatakayopatikana katika uwekezaji wa jengo hilo yamekusudiwa kutumika kufadhili kazi za kuendelea Uislamu nchini.
Na Bakari Mwakangwale
MAUMBILE ya wanaadamu ni kupatia na kukosea, na mara nyingi huenda ikawa wanaadamu wanakosea zaidi kuliko kupatia. Hili ni kwa wote bila ya kujali kwamba mtu ni kiongozi au mfuasi.
Mlemavu wa macho ashinda mashindano ya Qur`an kina mama
Na Bint Ally Ahmed